Nyota Afrika 1972 June
- Description:
- SWAHILI: Katika Gazeti la Nyota Afrika la mwaka wa 1972, mwezi wa Juni Kulikuwa na masuala yafwatayo; Upandaji wa chai Tanzania ulianza mwaka wa 1944 kwa ekari 704, ingine lina ekari 813 na kule maramba lina ekari 672 , pili, Wanandondi wa Uganda ambao Februari walithibithisha un=bingwa wao katika mashindano ya Afrika nzima yaliyofanyika Nairobi.<br>ENGLISH: In the 1972 Nyota Afrika Newspaper, in June There were the following issues; The tea plantation in Tanzania started in 1944 with 704 acres, another with 813 acres and in the maramba with 672 acres, secondly, the Ugandan boxers who in February confirmed their title at the Africa Cup of Nations in Nairobi.
- Date:
- June 1972
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
McMillan Memorial Library Newspaper Collection