Ziyara Ujarumani
- Description:
- SWAHILI: Hili ni shairi kuhusu ziara ya Ustadh Mau nchini Ujerumani. Alikuwa amesafiri huko ili kuchambua na kutafsiri hati za kale na miswada ya ushairi iliyoandikwa kwa Kiswahili kwa khati za kiarabu. Ziara hii ilikuwa ya mradi ulioongozwa na profesa Clarissa Vierke. Profesa Vierke pamoja na mwenzake wa karibu Annachiara Raia walimchukua Ustadh Mau kutoka uwanja wa ndege na kumpa nguo za joto zaidi ili avae. Ustadh Mau anatoa shukurani zake kwa matendo haya ya wema na anamshukuru kila mtu aliyefanikisha kukaa kwake kwa mwezi mmoja nchini Ujerumani. Tazama pia shairi linalofanana na hili : umada_ms_00054, lenye kichwa "Kundi la Bwana Zahidi".<br>ENGLISH: This is a poem about Ustadh Mau's visit to Germany. He had travelled there to analyze and translate 18th-century Swahili manuscript poetry written down in Arabic script. The workshop was held at the University of Bayreuth , host by Prof. Clarissa Vierke with the help of Annachiara Raia. In this poem composed in Germany , Mau expresses his gratitude for the host generosity and thanks everyone who made his one-month stay in Germany worthwhile. See also similar poem : umada_ms_00054, titled "Kundi la Bwana Zahidi".
- Date:
- January 5, 2015
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)