Al-Aqswaa
- Description:
- SWAHILI: Shairi hili ambalo limepewa jina la Al-Aqsa, likirejelea msikiti maarufu uliopo Jerusalem, linahusu masaibu ya Waislamu kupigania Palestini. Ustadh Mau anaitaka jamii ya Kiislamu ya kimataifa itambue dhulma wanayofanyiwa na nchi za Magharibi na hasa zaidi dhulma wanazokabiliana nazo Wapalestini kutoka kwa Wazayuni. Anaeleza jinsi majeshi ya Marekani na Kizayuni yanavyokusudia kuwaangamiza Waislamu na hivyo basi kuuacha msikiti wa Al-Aqsa bila watoto wa kuulinda. Ustadh Mau anabainisha kuwa msikiti huo muhimu sana ni jukumu la Waislamu wote na hivyo basi jamii inapaswa kuwafahamisha watoto wao yanayojiri Palestini na dunia nzima ili waweze kuelewa mambo yanayoendelea duniani. Tazama pia shairi linalofanana na hili; umada_ms_00072, yenye jina la "Qudsi"<br>ENGLISH: This poem which is titled Al-Aqsa, referring to the famous mosque located in Jerusalem, is about the Muslim plight to fight for the Palestinian cause. Ustadh Mau urges the international Muslim community to be aware of the injustices done to them by Western powers and more specifically the injustices Palestinians face at the hands of Zionists. He describes how American and Zionist forces are intending to exterminate Muslims and consequently leave Al-Aqsa mosque without children to protect it. Ustadh Mau notes that this highly important mosque is the responsibility of all Muslims and that therefore the community should be informing their chilren on what is happening in Palestine and the world at large, so that they may understand what is going on in the world. See also similar poem; umada_ms_00072, titled "Al-Maqdis".
- Date:
- August 15, 2010
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)