Wanafundi kwaherini
- Description:
- SWAHILI: Shairi hili lilitungwa kwa ajili ya wanafunzi wa RISSEA kuwaaga baada ya kumaliza mafunzo yao. Katika shairi Ustadh Mau anawashukuru kwa jinsi walivyoshirikiana kwenye masomo na kuwa na tabia njema. Anawatakia heri na kuwakaribisha kutembelea tena Lamu.<br>ENGLISH: This poem was composed for the students of RISSEA ("Research Institute of Swahili Studies of Eastern Africa") to say goodbye to them after the completion of their training. In the poem Ustadh Mau appreciates them for how they have cooperated and behaved well. He wishes the farewell and welcomes them to visit Lamu again.
- Date:
- December 14, 2010
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)