Barua kati Mawaziri Wakuu wa Zanzibar na Kenya + Makubaliano
- Description:
- SWAHILI: Nyaraka hizi ni nakala za mawasiliano kati ya Waziri Mkuu wa Zanzibar (Mohamed Shamte) na Waziri Mkuu wa Kenya (Jomo Kenyatta) katika mwaka wa 1963. Barua kati ya Kenyatta na Shamte zinahusu kuhakikisha uhuru kamili wa kuabudu, hasa kwa raia wa Kiislamu wa Sultani. . Pia ina makubaliano kati ya serikali na usultani wa Zanzibar, serikali ya Kenya na utawala wa kikoloni wa Muingereza, huku Zanzibar ikikubali kwamba ukanda wa pwani ya Kenya ukabidhiwe Kenya bila ya kulipwa fidia wakati Kenya ikijipatia uhuru tarehe 12 Disemba, 1963. Nakala hizi zilipatiwa Ustadh Mau kutoka kwa Amir A. Amir.<br>ENGLISH: These documents are photocopies of correspondence between the Prime Minister of Zanzibar (Mohamed Shamte) and the Prime Minister of Kenya (Jomo Kenyatta) in 1963. The letters between Kenyatta and Shamte are about ensuring complete freedom of worship, in particular for the Sultan's Muslim subjects. It also contains an agreement between the government and sultanate of Zanzibar, the government of Kenya and the British colonial administration, with Zanzibar agreeing that the Kenyan coastal strip be ceded to Kenya without compensation when Kenya achieves independence on December 12th, 1963. These photocopies were provided to Ustadh Mau by Amir A. Amir.
- Date:
- May 10, 1963
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)