Color photograph of American wind multi-instrumentalist, arranger, and composer Vinny Golia playing a bass clarinet. Double bass player Michael Elizondo is in the background. A baritone saxophone is also partially visible.
SWAHILI: Wakati wa ukosefu wa ngano nchi nzima Kenya, Ustadh Mau hakuweza kuendelea kufanya kazi dukani kwake la mkate na ndio maana kwa muda alianza kushughulika sokoni kama muuzaji wa nyama. Ustadh alikuwa na miaka 28 takriban kwenye picha.<br>ENGLISH: During the caresty of wheat in the whole country of Kenya, Ustadh Mau could not work at his bakery and this is why he started for a while to work at the market as seller of meat. Ustadh Mau was around 28 years old.
SWAHILI: Picha ya Ustadh Mau nyumbani kwake. Sehemu ya kichwa haionekani.<br>ENGLISH: Picture of Ustadh Mau taken at his place. Unfortuantely his front is cut.
SWAHILI: Picha hii inarejelea msaada wa watu wa Matondoni walipoingiliwa na moto. Lamu island Muslim Youth alileta cimiti na milango. Mtu anayesimama upande wa kulia wa Ustadh Mau anaitwa Karim Rajan aliyekuwa mwanahabari wa gazeti la 'Nation'. Mtu aliyesimama mbali mwenye kanzu nyeupe karibu na mifuko ya cimiti ni mmoja wa mwanchama - kama vile vile Ustadh Mau - wa Lamu island Muslim Youth.<br>ENGLISH: This photo goes back to the help provided to the people of Matondoni during a fire. Lau Muslim Youth carries cement and doors. The person who stands on the right-hand side of Ustadh Mau is called karim Rajan who was the reporter for the Nation newspaper. The person on the back wearing the white gown (kanzu) close by the bags of cement – like Ustadh Mau – was one of the member of Lamu island Muslim Youth.