Ahmed Abdulkadir
- Description:
- SWAHILI: Huyu ni marehemu babake ya Ustadh Mau jina lake Ahmed Abdulkadir. Kwenye picha yuko pamoja na wajukuu wake kutoka mtoto wake wa kike Rabia: Abdulaziz (mtoto anayesimama karibu naye) na Fatma (mtoto wa kike anayembeba). Ahmed Abdulkadir alikuwa mtoto wa mwisho ingawa alitangulia kufariki kwa sababu ya ugonjwa wa afya (1915-1971).<br>ENGLISH: This is Ustadh Mau's father Ahmed Abdulkadir with his grandchildren from his daughter Rabia: Abdulaziz (the boy standing on his right-hand side) and Fatma (the girl in his arms). Ahmed Abdulkadir was the last born but passed away earlier due to healthy problems (1915-1971).
- Date:
- circa 1948
- Resource Type:
- still image
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)