Tunda
- Description:
- SWAHILI: Shairi hili la Ustadh Mau linahusu kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza aliyeitwa Fathi. Analinganisha kupokea zawadi hiyo kutoka kwa Mungu na matunda ambayo wanadamu wamebarikiwa nayo. Shairi linazungumza juu ya matamanio ya Ustadh Mau kupata "tunda" ambapo siku hiyo alibarikiwa tunda kwa umbo la mtoto wake. Anamshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai na anaomba kwamba mtoto wake akue na afya njema na kulindwa na Mungu.<br>ENGLISH: This poem by Ustadh Mau is about the birth of his first-born child named Fathi. He compares the receiving of such a gift from God to the fruits that humanity is blessed with (tunda translating to fruit). The poem speaks on Ustadh Mau's yearning for "fruit" which that day he received in the form of his baby. He thanks God for this gift of life and prays that his son will grow up to be healthy and protected by God.
- Date:
- October 10, 1976
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)